top of page

NYIMBO KWA UTUKUFU WA MUNGU



MICHEZO
Karibu kweye kwaya yetu, na kama wewe ni mpenzi wa michezo, kuna utaratibu mzuri wa kwenda maeneo mazuri tena tulivu ufukweni mwa bahari kwa ajili ya mazoezi ya viungo pamoja na kujifunza mambo mbalimbali kuhusu uumbaji wa Mungu.
UINJILISTI
Wanakwaya wanayo kazi kubwa ya kueneza injili kwa njia ya uimbaji na hasa kupitia kila aina ya teknolojia inayowezesha kufikisha ujumbe.
MAZOEZI
Karibu kwenye mazoezi ya uimbaji kila siku za Alhamisi saa 11:30 hadi 12:30 jioni na Jumapili kuanzia saa 8:00 mchana hadi saa 10:30 jioni.


DSC00464.JPG


1/12
bottom of page


